Tunatengeneza websites BURE, domain registration BURE

Tunatengeneza websites BURE, domain registration BURE

mkuu hii safi sana ila heb jaribuni kuweka web yenu ivutie zaidi
 
Nawapongeza sana, na mimi nitakuwa mteja wenu.
 
mkuu hii safi sana ila heb jaribuni kuweka web yenu ivutie zaidi

Noted, tunapokea mapendekezo na maoni yenu kama wadau. tuko tayari kuboresha chochote kilicho ndani ya uwezo wetu ili kuhakikisha tunakidhi mahitaji yenu
 
Bure kivipi,unatumia language gani kutengenezea??domain bei gani
Acha kubabaisha watu hakuna web serious chini ya 1m na hapo host na domain juu ya mteja.vinginevyo utapewa web ya kucustomize template nayo utasimama useme una website.
Sio kila anae soma post yako anajua kuhusu web. So usiibie watu mzeee,jus kuwa real tu maana hata blog n free ila kuweka iwenamwonekano premium lazma ukutoke pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom