Tunatengeneza tofali imara za kuchoma

Ziko vizuri, weka contact zako hapa!
 
Morogoro huwa tunanunua tofali moja tsh mia
 
Mimi pia najua hivyo,yapo hadi ya Tsh70,ila sio haya.
 
Kwa Dar es salaam zinapatikana wapi..?
 
Kwa Dar es salaam zinapatikana wapi..?
Kwa wateja wa mikoani usafiri ni juu ya mnunuzi ila tutakusaidia kutafuta usafiri wa bei rahisi kupitia magari makubwa yanayofata bidhaa mkoa husika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…