Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Tuna tengeneza Milk Vending Machine (Milk ATM). Kwanzia ujazo wa lita 50,100,150, 200 hadi Lita 600 ya maziwa fresh yaliyo chemshwa pamoja na ya mtindi na yoghurt ,kwa bei nafuu sana.

Tunapatikana Moshi, maeneo ya KCMC madukani. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia email yangu raynoldlema@gmail.com
0768076849

View attachment 1251991
IMG_20200118_141324.jpg
 
100liters hadi lita 200.ina pump yenye uwezo waku dispense mtindi pia.
 
Safi.

Naona
Acrylic board (opal)
4 x 3 keypad
20 x 4 LCD
On/Off switches
Push buttons
Coin acceptor
Microcontroller (Possibly Arduino)
Pump
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍😁
Ok. Soo are you interested in getting one?
 
And yes it is safe otherwise tusinge tengeneza. Hiyo pump ulio mantion ukitaka kuwekewa tunaweza kukuwekea but bei itakua juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom