Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Raynold Lema

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
27
Reaction score
7
Tuna tengeneza Milk Vending Machine (Milk ATM). Kwanzia ujazo wa lita 50,100,150, 200 hadi Lita 600 ya maziwa fresh yaliyo chemshwa pamoja na ya mtindi na yoghurt ,kwa bei nafuu sana.

Tunapatikana Moshi, maeneo ya KCMC madukani. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia email yangu raynoldlema@gmail.com
0768076849

IMG_20191102_161456.png
 
Je, kwa walio Mikoa mingine tofauti na Kilimanjaro watapaje huduma yako. Au una mawakala sehemu zingine za nchi?
 
Tuna tengenezea Moshi, ila kwa upande wa usafirishaji tuna safirisha mikoa yote nchini.
Kama ni hivyo kwa nini bandiko lako lisiambatanishwe na vielelezo vyenye kuonyesha aina za mashine pamoja na maelezo ya kiufanisi?
 
Weka japo picha kadhaa za muonekano wa hiyo mashine, na maelezo yake kidogo jinsi inavyofanya kazi
 
Wananunua China. Hakuna anayotengeneza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom