jaxonjaxon
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 217
- 136
Tunatuma bossMikoani mnatuma?
na picha za hiyo mikanda mnatutumia mikoani pia[emoji2]Tunatuma boss
Hahahaha picha nawawekea bossna picha za hiyo mikanda mnatutumia mikoani pia[emoji2]
NimewekaWeka picha mkuu
hazifunguki, usiweke kwenye thread ya mwanzo. zitume kawaida kwenye comment boxNimeweka
Saafi. weka bei sasa mkuu
Ongeza sample mkuu za huo uremboBei ya mikanda Ni 1800-2000 kwa mkanda moja.. kwa wateja wa dsm tu, kwa mikoani tutaelewana kutokana na mkoa ulipo.
Ila pia ukifata mwenyewe kiwandani Bei Ni 1500 kwa mkanda mmoja.
Maua Ni 15,000 Hadi 18,000
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
SawaOngeza sample mkuu za huo urembo