Tunatengeneza Mfumo wa Kusafisha Maji Taka

Tunatengeneza Mfumo wa Kusafisha Maji Taka

Natural

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
49
Reaction score
12
Kwa wale wote mnaosumbuliwa na tatizo la Majitaka, tuna suluhisho sahihi kwa ajili yenu. Iwe ni mtu binafsi, shule, kiwanda ama taasisi yoyote, tunaweza kukufikia na kukuhudumia. Tunatumia teknolojia mbalimbali mojawapo ikiwa Constructed Wetland Technology ambayo inatumia mfumo wa asili. Pia tunafanya Environmental Impact Asessements and Audits. Tuwasiliane kupitia 0787 640302. Karibu.
 
Back
Top Bottom