Hapana What
Senior Member
- Dec 24, 2017
- 140
- 57
Mashine za kukaangia karanga ktk high standard mnatengeneza?(a) Kundi ..........Mbao
1/ Kucnana mbao
2/ kurand mbao
3/ Kukereza mbao
4/ Kupiga spindle
5/ Kutoboa mbao
(b).............. chuma
1/ bench drill (kutoboa chuma)
2/ Lasser machine (mashine za kuchonga vyuma)
3/bench grider (kukata vyuma)
4/ kukunja vyuma
(c) ..............
1/ mashine za kukamua miwa
Connectez-vous ou inscrivez-vous pour voir le contenu
za kukaanga karanga hapanaMashine za kukaangia karanga ktk high standard mnatengeneza?
hapna hatujafikia kutengeneza hizoNahitaji machine za kupalilia mahindi na mpunga.
pipe bender, bar bender zote tunatengeneza ya kukatia majani ya mifugo labda u specify removable au fixedNahitaji mashine ya kukata majani ya mifugo...
Weka no ya cm
Vip ndg mnaweza kutengeneza mashine za kusaga mawe mepesi kama vile yale meupe ya gypsum?hapna hatujafikia kutengeneza hizo
yeah inawezekana, wasiliana nasi 0689 859167Vip ndg mnaweza kutengeneza mashine za kusaga mawe mepesi kama vile yale meupe ya gypsum?
Sent using Jamii Forums mobile app