Tunatengeneza garden/bustani nzuri zinazovutia kama hizi

True_garden_designers tunatengeneza garden/bustani nzuri za nyumbani,hotelini, shuleni,kanisani,na maofisini,zenye muonekano wa aina mbali mbali. Popote tunakufikia ndani ya Tanzania.

Tutafute kwa namba za simu
0687239674,0717580898

Whatsapp (0687239674,0717580898)
instagram@True_garden_designers

Hizi ni baadhi ya kazi zetu. View attachment 1506248View attachment 1506249View attachment 1506250View attachment 1506251
Miti mliopanda humu kwa gardeni ni royal palm pekee au kuna mingine?
 
Eneo ninalotaka kuweka garden upana ni mita 2 urefu Mita 20. Nataka hayo majani tu bila maua. Naomba quotation.
Mkuu piga picha tutumie whatsapp ili tujue maandalizi yake au tuelekeze tuje tulione.maana maeneo mengine yanahitaji kujazwa udongo kwanza ili yakae sawa.
 
Bustani ni nzuri ukiwa na hela ila siku ukikosa hela inakuumbua siku hiyo hiyo. Wanasema bustani haipatani na maskini na ndio maana ukoka haustawi nyumba ya masikini, Hata ile miti ya miashoki kwa maskini haistawi
Imani tu hizi! Kuna sehemu moja huko Uganda watu waliokuwa wamepanda miti aina ya family (ipo kama miavuli hivi) waliikata haraka haraka baada ya familia mbili ziliyokuwa na miti ya aina hiyo kupatwa na misiba. By zen miti hiyo ilikuwa aina ngeni katika maeneo hayo
 
True_garden_designers tunatengeneza garden/bustani nzuri za nyumbani,hotelini, shuleni,kanisani,na maofisini,zenye muonekano wa aina mbali mbali. Popote tunakufikia ndani ya Tanzania.

Tutafute kwa namba za simu
0687239674,0717580898

Whatsapp (0687239674,0717580898)

Hizi ni baadhi ya kazi zetu. View attachment 1506248View attachment 1506249View attachment 1506250View attachment 1506251
Location ununio,baada miezi mitatu bustani inaonekana hivi
IMG-20200715-WA0086.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom