real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Habari, kwa wale wanaotaka kutengenezewa application za kwenye simu tunafanya hivyo kwa bei reasonable, tunaanzia kwa tshs 500,000 kwa applications zenye basic features,
pia tunatengeneza website na systems, mfano ukitaka kutengenezewa system ya ku keep na ku track records za wagonjwa hospitalini kwako, wanafunzi wa shule yako, stock za kwenye biashara yako, wateja wako n.k
kwa anayetaka huduma anichek inbox
dunia inabadilika sasa hivi na technology ina take over na kurahisisha kazi, tubadilike nayo kwa maendeleo ya haraka zaidi