Tunatengeneza app kwa bei nafuu

Tunatengeneza app kwa bei nafuu

Kajamaa kameambiwa kaweke samples kamelala mbele..!
Inaonekana ni "kapigaji"
Mie nilidhani kataalamu nikape tenda ya kunitengenezea app ya kutangaza na kuuza biashara yangu ya majeneza kumbe kaongo tu.
 
Ha ha ha ha ha hiyo biashara yako umesajili?
 
Ndiyo mkuu nimesajiri kabisa ni kampuni ambayo tunahusika na utengenezaji na usambazaji wa majeneza na vifaa vingine vya kuzikia,
Pia tunatoa huduma za kuosha maiti,kusafirisha maiti na kujenga makaburi ya kisasa pia kukarabati makaburi ya zamani. Tunapatikana Dom karibu sana mkuu.
 
Shukrani!
 
andromo
appyet
appcreator24

developers wanaofanya from the scratch ni wachache sana na bei zao ni ndefu sio kama yako. tupe samples tuone.
 
Back
Top Bottom