Tunatengeneza app kwa bei nafuu

Tunatengeneza app kwa bei nafuu

Hacked Games

Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
12
Reaction score
15
Habari mwana Jf !
Tafadhari husika na kichwa cha Habari hapo juu.
Kama Wewe ni Mwana Blog Au website Na unahitaji Kutengeneza App yako itakayobeba Kazi zako Basi uzi huu unakuhusu.

OFA OFA OFA OFA.
Natengeneza App Kwaajili ya Watu wenye Blog na Website Kwa Bei Nafuu sana Bei sawa Na bure.

Na Zinatofautina Bei kutokana na Uhitaji wa mtu.
KWA WENYE BLOG.

APP YA ANDROID.

>kama unahitaji Kutengeneza App na Kuiweka Play store Elf 85 tu! Pamoja Na Kukufungulia Account Playstore Kama Developer Kwa pesa Hio hio.

>kama Unahitaji kutengeneza App Bila Kuiweka Play store Elf 20 tu.

KWA WENYE WEBSITE.

APP YA ANDROID.
>Kutengeneza App Na Kuiweka Playstore 100,000 Pamoja Na kufungua Account Kama Developer.

>Kutengeneza App Bila Kuiweka Playstore Elfu 50 tu!!!!

KWA WENYE BLOG NA WEBSITE!!!

APP YA IOS (iphone/ipad/ipod)

>Kutengenezwa Na kuwekwa App store elfu 80 tu!!

>kutengenezwa app Bila Kuwekwa App store
Elfu 15 tu!!!

Hapo tunajumuisha Website Na blog bei moja kwa App ya Ios.



Kama Unahitaji Kutengenezewa na maeleozo Zaidi Nicheki whatsapp 0712801423.

Nipo Serious Wadau !!!!

Note: usije kama Wewe Huhusiki na Maada hio na wala huna Uhitaji.

Watu kumi wa mwanzo dau litapungua Zaidi ya hapo kazi kwako.
 
kama unajua kuunda apps km djmwanga nitafute 0625533419
 
Back
Top Bottom