bendaki
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 952
- 346
Ndg wana JF,
Taifa letu tusipoangalia linaliwa na China. Mengi feki ni kutoka kwao. Hizo simu feki zimetuachia nyufa. Barbara zetu hazikufikia viwango ni karibuni tutaenda kukopa kuzitengeneza upya na wao ndio watakuwa wa kuzijenga tena kwa viwango hivyo hafifu.
Walihakikisha Makandarasi wetu viwango havipandi ili kubakia kwa muda mrefu ktk tasnia ya ujenzi hasa wa barabara. Nimeskia wametoa pesa kutuletea viwanda. Hiyo itakuwa kasheshe kwani ni viwanda aina gani hivyo kama sio vya vitu hafifu.
Wanajitahidi kulinda wanao wakumbatia kwa kuhakikisha hamna kuhoji kwa kuelekea kuua upinzani nchini na kuondoa matumizi kidemokrasia.