TUNATAKA RAIS MAGUFULI ANUNUWE MA-FERIBOTI KAMA HILI HAPA.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,194
feriboti lamjini.jpg
feriboti la kisasa.jpg
Feriboti.jpg
 
MziziMkavu hili ferry linauzwaje?

weka bei tulinganishe
hili linabeba magari?
Hili ghali mkuu linabeba magarisijuwi bei yaek lakini huwezi kufananisha na lile alilonunuwa Mheshimiwa Rais Magufuliwakati alipokuwa Waziri Wa usafirishaji wakati wa Utwala wa Rais Mstaafu Rais J.Kikwete. Hili kibei litakuwa ni mara mbili zaidi ya hilo Alilo nunuwa Rais Kikwete linalo kwenda Dar to Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom