Tunataka Maji Yatoke

Tunataka Maji Yatoke

Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu.

Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo hawakujifunza kutoka kwakwe.

Hili Jiji sasa tumekuwa wengi mno na maji ni biashara sababu hawatupi Bure tunayalipia na kibaya zaidi mtoa huduma ni mmoja na hajali kabisa jinsi anavyoshindwa kufanya mauzo na huduma amewaachia wanasiasa ndio wawajibie kwanini maji hayatoki DSM.

Sababu za mabadiliko ya tabia nchi mie binafsi na wananzengo wenzangu tumezikataa na wala hatutaki kusikia, tena wanao tamka tunawaheshimu tu.

Jamani hivi hakuna namna tunaweza leta kunji kudai maji hapa jijina DSM na joto hili, tulijichimbia visima wakatuletea mpaka mamlaka za kudhiniti visima, hapo awali na wakatuhakikishia issue ya Maji tu wamemaliza. Mwendazake vyovyote vile angesema kitu. Ruvu imekauka sawa je rufiji nayo, wami je. Kama maji yametoka Mwanza mpaka Tabora, mnatuongezea gharama za kuishi DSM tuliwalalamikia katika Tozo huku kwenye maji dumu limefika 1000 na kulipata kwa mbinde.
Sio sisi tunashindwa kuoga tu hata serikali inakosa mapato mengi kwa kushindwa kutoka huduma.
Tunataka Maji Yatoke DSM haraka Sana, na sio politike. Naona mnatamani na kipindupindu kirudi DSM watu wapige pesa za dharura. Mnatupeleka mbele hatua Moja mnaturudisha hatua mbili nyuma.
wanataka hela za msaada kutoka benki ya dunia zikishatoka ndio wataruhusu maji yatoke tulieni wananchi, nilishasemaga Tanzania haitakuja kuwa nchi njema kwa watu wake kama una akili kubwa tafuta hela hama hiyo nchi mapema utanishukuru baadae wewe na uzao wako.
 
Maji leo kwetu yametoka! kwa mbiinde tunashukuru kwa sauti zenu hope hii kitu itaendelea
 
Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu.

Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo hawakujifunza kutoka kwakwe.

Hili Jiji sasa tumekuwa wengi mno na maji ni biashara sababu hawatupi Bure tunayalipia na kibaya zaidi mtoa huduma ni mmoja na hajali kabisa jinsi anavyoshindwa kufanya mauzo na huduma amewaachia wanasiasa ndio wawajibie kwanini maji hayatoki DSM.

Sababu za mabadiliko ya tabia nchi mie binafsi na wananzengo wenzangu tumezikataa na wala hatutaki kusikia, tena wanao tamka tunawaheshimu tu.

Jamani hivi hakuna namna tunaweza leta kunji kudai maji hapa jijina DSM na joto hili, tulijichimbia visima wakatuletea mpaka mamlaka za kudhiniti visima, hapo awali na wakatuhakikishia issue ya Maji tu wamemaliza. Mwendazake vyovyote vile angesema kitu. Ruvu imekauka sawa je rufiji nayo, wami je. Kama maji yametoka Mwanza mpaka Tabora, mnatuongezea gharama za kuishi DSM tuliwalalamikia katika Tozo huku kwenye maji dumu limefika 1000 na kulipata kwa mbinde.
Sio sisi tunashindwa kuoga tu hata serikali inakosa mapato mengi kwa kushindwa kutoka huduma.
Tunataka Maji Yatoke DSM haraka Sana, na sio politike. Naona mnatamani na kipindupindu kirudi DSM watu wapige pesa za dharura. Mnatupeleka mbele hatua Moja mnaturudisha hatua mbili nyuma.
Watakwambia hata wajerumani hawaogi bora hata sisi kidogo visima vipo 😂😂😂
 
Kwa kweli aiseee😀

Ili CCM iendelee kutawala ni muhimu wayafungulie hayo mabomba yatoe maji maana wabongo ni mabingwa wa kusahau.

Watasahau taabu yote hii
 
Back
Top Bottom