Tunataka kile usichokuwa nacho

hahaha kachunwa demu sema hapati direct impact kama wewe unavyotoa pesa yako
Na ogopa sana indirect impact anayopata huyo mwanamke, ....... ingekuwa wanachuna kweli kama munavoongopeana wakina wema sepetu, sijui wolper wangekuwa wanatembelea ma VX na kumiliki sheli hapa mjini lakini huwezi amini hata ma bank teller graduates wa mwaka juzi wanawazidi kipato......... Washauri wenzako wafanye kazi,tena kwa awamu hii watajifunza practically kwa lazima.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
sawa mkuu nitawashauri wenzangu mkuu
 

Huntha
 
Ha ha Mnakutanaga na wanaume malimbukeni .. Mimi hata uwe mzuri kuliko mAsogange nikiamua kutokusikiliza sikusikiliziiii
 
kwani wewe unajiuza?mbona hua sikuelewi?. Wapo wanawake wengi wanapenda kwa dhati .Mapenzi na pesa ni tabia yako sio ya wanawake.
 
Wanawake hamuelewekagi mnataka nini. Sometime mnatuchosha sana kuwatambua
 
ndo maana wanaume hatutakaa tutulie..hivi mnikatae sina hela niumie miongo na miongo kuzitafuta,unazani bahati nikizipata nitaacha kuwapanga niwezavyo??
umalaya wa wanaune mnasababisha nyie mabinti..
nasema hivii;labda ela niaizipate.mtakoma nyie wanawake mtakao kutana na mm,japo maisha sio tyt as nina lyf standard na ka IST kangu apa,
[HASHTAG]#iCantFuckTwice[/HASHTAG].....nikikutomba sikutudii mameeeerk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…