Tunatafuta wanafunzi wanaohitaji msaada wa kielimu

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
SOMESHA MTOTO MMOJA PROGRAMME:
Inapenda kuchukua fursa hii kuwaombawatanzania watusaidie kutupa taarifa ya mtu yeyote mbaye anahitaki msaada waufadhili wa elimu. Mpaka sasa, True Road Technologies Limited inayosimamiampango huu imeanza kwa Mkurugenzi Mkuu wake kumsomesha motto mmoja aliyekoMbulu ambaye alikuwa amekwama kabisa kuendelea na masomo yake. Watu sabawamejitokeza kuweza kusaidia watu wayakaothibitishwa kuwa wanauhitaji wakusaidiwa elimu.

VIGEZO:
1.Awe mwanafunzi anayesoma, au amechaguliwakujiunga na shule ya sekondari-ufadhili ni kidato cha kwanza mpaka saa sita
2. Awe amefaulu/yupo shule ya serikali,kama ni shule binafsi, awe amekuwa akisaidiwa, pengine mfadhili wake/mzaziamefariki au imethibitishwa pasipo shaka kuwa hawezi kumudu gharama zote.

Tunaomba taarifa zifuatazo;

1. Jina la Mwanafunzi................................
2. Mzazi/mlezi...............................................
3. shule anayosoma/aliyopangiwa-na mawasiliano ya shule hiyo-simu/barua pepe inafaa zaidi.........................
4. Kidato anachosoma/anachoingia................................................................
5. Mahali anaposoma/shule aliyopangiwa.......................................................
6.shule aliyotoka au aliyomaliza.........................................................................
7.Hali ya uchumi ya mzazi au mlezi- mfano, mfanyakazi, kazi gani, mkulima wa nini, je anamiliki nini....................
8.Hali ya mwanafunzi- je ni yatima, analelewa na mzazi mmoja tu, hana mlezi/mzazi kabisa nk...................................
9. Historia ya mwanafunzi-Je lipi limemfanya akwame kabisa masomo/sababu ya kuomba ufadhili.............................
10. Gharama ya malipo inayohitajika....................................................

UFAFANUZI;
-Mpango huu unaratibiwa na kampuni ya TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED
-Mpaka sasa mwanafunzi mmoja huko Mbulu ameanza kusaidiwa-yupo kidato cha pili
-Watu watano wamejitokeza kusaidia, ikiwa ni pamoja na kama kuna mwanafunzi yupo Arusha amekwama kabisa, kuna mfadhili yupo Arusha yupo tayari kusaidia kuanzia sasa , masharti mwanafunzi awe Arusha
-Mpango huu utazinduliwa rasmi mwezi Febr 2013, wanafunzi wanaotafuta msaada wanahitajika, taarifa zitathibitisha. Wafadhili(Watanzania zaidi, hata asiyemtanzania anaruhusiwa) wanahitajika. Kila mwanafunzi anayepatika ataunganishwa moja kwa moja na mfadhili, na mfadhili atatuma fedha moja kwa moja kwenda shuleni.

Wenu,

Christopher Andendekisye,
Mkurugenzi Mtendaji
TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED

Kwa Taarifa zaidi: Ofisi ipo Sinza Mugabe, karibu na City Style Hotel, simu +255 656 487215

SOMESHA MTOTO MMOJA PROGRAMME: Inapenda kuchukua fursa hii kuwaombawatanzania watusaidie kutupa taarifa ya mtu yeyote mbaye anahitaki msaada waufadhili wa elimu. Mpaka sasa, True Road Technologies Limited inayosimamiampango huu imeanza kwa Mkurugenzi Mkuu wake kumsomesha motto mmoja aliyekoMbulu ambaye alikuwa amekwama kabisa kuendelea na masomo yake. Watu sabawamejitokeza kuweza kusaidia watu wayakaothibitishwa kuwa wanauhitaji wakusaidiwa elimu. VIGEZO: 1.Awe mwanafunzi anayesoma, au amechaguliwakujiunga na shule ya sekondari-ufadhili ni kidato cha kwanza mpaka saa sita 2. Awe amefaulu/yupo shule ya serikali,kama ni shule binafsi, awe amekuwa akisaidiwa, pengine mfadhili wake/mzaziamefariki au imethibitishwa pasipo shaka kuwa hawezi kumudu gharama zote. Tunaomba taarifa zifuatazo; 1. Jina la Mwanafunzi................................ 2. Mzazi/mlezi............................................... 3. shule anayosoma/aliyopangiwa-na mawasiliano ya shule hiyo-simu/barua pepe inafaa zaidi......................... 4. Kidato anachosoma/anachoingia................................................................ 5. Mahali anaposoma/shule aliyopangiwa....................................................... 6.shule aliyotoka au aliyomaliza......................................................................... 7.Hali ya uchumi ya mzazi au mlezi- mfano, mfanyakazi, kazi gani, mkulima wa nini, je anamiliki nini.................... 8.Hali ya mwanafunzi- je ni yatima, analelewa na mzazi mmoja tu, hana mlezi/mzazi kabisa nk................................... 9. Historia ya mwanafunzi-Je lipi limemfanya akwame kabisa masomo/sababu ya kuomba ufadhili............................. 10. Gharama ya malipo inayohitajika.................................................... UFAFANUZI; -Mpango huu unaratibiwa na kampuni ya TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED -Mpaka sasa mwanafunzi mmoja huko Mbulu ameanza kusaidiwa-yupo kidato cha pili -Watu watano wamejitokeza kusaidia, ikiwa ni pamoja na kama kuna mwanafunzi yupo Arusha amekwama kabisa, kuna mfadhili yupo Arusha yupo tayari kusaidia kuanzia sasa , masharti mwanafunzi awe Arusha -Mpango huu utazinduliwa rasmi mwezi Febr 2013, wanafunzi wanaotafuta msaada wanahitajika, taarifa zitathibitisha. Wafadhili(Watanzania zaidi, hata asiyemtanzania anaruhusiwa) wanahitajika. Kila mwanafunzi anayepatika ataunganishwa moja kwa moja na mfadhili, na mfadhili atatuma fedha moja kwa moja kwenda shuleni. Wenu, Christopher Andendekisye, Mkurugenzi Mtendaji TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED Kwa Taarifa zaidi: Ofisi ipo Sinza Mugabe, karibu na City Style Hotel, simu +255 656 487215

Back
Top Bottom