BINAGI BLOG-BMG
Member
- Mar 12, 2016
- 73
- 33
Habari Watanzania, Ikiwa unapenda kuwa Mwandishi wa Habri, Uko chuo ama hauko chuo, unakaribishwa katika tasnia ya Habari ili uendelee kujino zaidi.
Mtandao wa Habari wa BINAGI BLOG_BMG unatafuta waandishi wa habari wa kujitolea popote pale walipo nchini Tanzania na nje ya Tanzania. Tuma maombi yako kupitia binagimediagroup@gmail.com au wasiliana nasi kupitia 0757432696
Faida za nafasi hii ni nyingi; mojawapo ni kujijenga zaidi kihabari lakini pia kupata fursa ya kujulikana kitaifa na kimataifa kwani wapo waandishi wengi hivi sasa wamepata ajira katika magazeti makubwa hapa nchini ambao walijulikana kupitia kwetu.
Mwisho wa kutuma maombi ni Ijumaa Julai 15,2016 saa tisa mchana.