Wandugu,
Tunatafuta Watajwa hapo juu ambao wanajua vyakula. Utunzwaji wa vyakula.Sifa ni cheti mpaka degree.
Cha muhimu ni kujua au kuwa ushawahi kufanya kazi kwenye stores ya vyakula (kutunza Nyama, vyakula vya baridi na vikavu na vinywaji)
Kama una sifa hizo na upo tayari kufanya kazi nje ya Dar tuma maombi ukiambatanisha CV kwa
hr@sfgroup.co.tz