Tunatafuta Nyumba za Kununua.

Tunatafuta Nyumba za Kununua.

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
509
Reaction score
401
Habarini team.
Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam.
  • Nyumba ziwe na Hatimiliki.
  • Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi.
  • Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana.

Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70.

Ikiwa una nyumba zinazofaa ambazo zinakidhi vigezo hivi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo!
Zingatio:Tuma picha au video ya nyumba husika.

Mawasiliano: 0767 833345 au 0627 605807 au 0784 829565
@prathrealestate
 
Hapo mkanunue msongola, chamazi, mboondole huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom