Mkuu kwa uzoefu wangu wa hizo ishu designers wazuri tz ambao wanaijua photoshop wengi hawana degree.Hao waliosoma mass com wengi sio watundu na wabunifu,kwa mantiki hiyo mara nyingi magazeti mengi huwa wanachukua designer na mtu wa kuhariri separate.
Ukitaka designer let me know,nina jamaa yangu alikuwa ana design magazine ya michezo ya Number10 la shafii Dauda na Edo kumwembe, magazine ya burudani inaitwa hot spot na magazine ya maswala ya uchumi linaitwa Resource.He is a freelancer so mtakubaliana.