zackfinance
Member
- Apr 6, 2013
- 47
- 12
Ungesema uwakala wa bidhaa au huduma ipi. isije ikawa uwakala wa kuuza madawa ya kienyejiHabari wadau wa JAMII FORUM,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao wataanza kazi kuanzia JUNE 2016 ambao watakuwa wanatusaidia na tunashirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE, hii ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa.
Tutaendela kutoa maelezo zaidi, tunaomba muendelea kutufuatilia, ila wenye leseni za biashara na ofisi(FRAME) watapewa kipaumbele zaidi.
wako,
isaack
Ungesema uwakala wa bidhaa au huduma ipi. isije ikawa uwakala wa kuuza madawa ya kienyeji
Msamehe bure ndio product za BRN hizothink positive guys.........tumeshasema ni uwakala wa mambo ya MICRO FINANCE
Aiseeee! lakini hizi lugha za malkia ndio tatizo utajua tu wachingiaji wakianza kuchangia.Ungesema uwakala wa bidhaa au huduma ipi. isije ikawa uwakala wa kuuza madawa ya kienyeji
Mpo wengi sana humu JF usiwe mvivu wakusoma nakuelewa ndugu yanguUngesema uwakala wa bidhaa au huduma ipi. isije ikawa uwakala wa kuuza madawa ya kienyeji
ukitaka kuanzisha biashara Tabora tuwasiliane mkuuHabari wadau wa JAMII FORUM,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao wataanza kazi kuanzia JUNE 2016 ambao watakuwa wanatusaidia na tunashirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE(UTOAJI WA MIKOPO), hii ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa.
Tutaendelea kutoa maelezo zaidi, tunaomba muendelea kutufuatilia, ila wenye leseni za biashara na ofisi (FRAME) watapewa kipaumbele zaidi. na ruksa kuwasiliana nasi kwa mawasiliano hapo chini.
wako,
Isaack Mng'anya
CEO & FOUNDER-ZACKFINANCE
Mob;+255 713 701 810
Email;zackfinance@yahoo.com
Habari wadau wa JAMII FORUM,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao wataanza kazi kuanzia JUNE 2016 ambao watakuwa wanatusaidia na tunashirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE(UTOAJI WA MIKOPO), hii ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa.
Tutaendelea kutoa maelezo zaidi, tunaomba muendelea kutufuatilia, ila wenye leseni za biashara na ofisi (FRAME) watapewa kipaumbele zaidi. na ruksa kuwasiliana nasi kwa mawasiliano hapo chini.
wako,
Isaack Mng'anya
CEO & FOUNDER-ZACKFINANCE
Mob;+255 713 701 810
Email;zackfinance@yahoo.com
Shida iko kwenye Micro finance mkuu, mwambie mikopo midogomidogothink positive guys.........tumeshasema ni uwakala wa mambo ya MICRO FINANCE
June si mbali kiongozi.
Weka bayana.
Ninyi ni nani na mnatoa huduma gani katika microfinance. Sifa yenu kuu ni ipi ambayo itawatofautisha na Micro finance service providers wengine. Mko wapi na wapi na mna uzoefu gani katika fani.
Nini majukumu ya wakala wanaotafutwa.
Ni nini sifa za wakala anayehitajiwa.
Kazi zake zitakuwa nini.
Malipo yake yatakuwaje.
Una nafasi ngapi.
Funguka mkuu. Biashara matangazo.
sisi ni kampuni ya inayohusika na mambo ya micro credit nainaitwa ZACK FINANCE, tumeisajili mwaka 2010 Tanzania kwa reg no 211495 na business licence no B 01372100 na tupo BUNJU B karibu na UPENDO DISPENSARY DSM.
think positive guys.........tumeshasema ni uwakala wa mambo ya MICRO FINANCE
Mkuu kunatatizo sana la wataalamu wa kibongo wengi wezi na kampuni nyingi zinakufa kwa kufilisiwa na wataalamu wa kibongo. Ndiyo sababu huyo bwana ana tumia njia mbadala kuliko ya kuajiri mojakwamoja.Na wewe ukisema mambo ya micro-finance, unazidi kushusha hadhi ya taasisi yako kwamba si wanataaluma. Sijawahi kusikia mtaaluma anasema mambo ya micro-finance. Hapa ni dalili ya tatizo kubwa.
Mnaweza kuajiri wataalamu wakawasaidia kuendesha hiyo kitu yenu?
Mkuu kunatatizo sana la wataalamu wa kibongo wengi wezi na kampuni nyingi zinakufa kwa kufilisiwa na wataalamu wa kibongo. Ndiyo sababu huyo bwana ana tumia njia mbadala kuliko ya kuajiri mojakwamoja.
Huwezi jua hilo mpaka uwe Kwenye biashara husika utajua ugumu wake.
Na wewe ukisema mambo ya micro-finance, unazidi kushusha hadhi ya taasisi yako kwamba si wanataaluma. Sijawahi kusikia mtaaluma anasema mambo ya micro-finance. Hapa ni dalili ya tatizo kubwa.
Mnaweza kuajiri wataalamu wakawasaidia kuendesha hiyo kitu yenu?
Have you ever practice?
Theoretically is simply, jaribu uone ugumu wake.
Kuna mambo rahisi sana ukiyasoma na ila hayaja changanua uhalisia wa mazingira ya mahali unapo fanyia biashara husika.
Changamoto za ULAYA hazifanani kwa asilia 100 na za Africa.
Pengi huja nielewa nini namaanisha
Mkuu namna gani sasa? Inakuwaje mheshimiea raisi?
Sifa za mwombaji ni frame na ukubwa. Ukubwa unapimwaje? Frame ni nini?
Kazi ya wakala ni kufanya nini? Inahusianaje na ukubwa na frame?
...ngumu kuelewa.