ikitokea hiyo itakuwa poa sana, maana wasanii watatunga nyimbo nyingi na picha zake zitapendeza sana si unajua hall 2 na hall 5 na kama twin towers za sept 11, tunalisubiri hilo kwa hamu watanzania tuwe kwenye ramani ya dunia tena. Hebu imagine vichwa vya habari katika vyombo vya nje. Dar university disaster, hostels collapse in dar, dar urges for intl aids, dar mourns intellectuals na hapa bongo daily news nalo hill twin towers kill thousands, the african nalo dar varsity in sorrows na lile jingine litasema bodi ya mikopo yapunguziwa mzigo. Wow! Kwa kweli inavutia