tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.
mkuu tusiwalaumu wanafunzi, tujiulize kwanini wanabebana? Mi nashindwa kuelewa nini kinachokwamisha kuongeza majengo ya hostel, huwa sielewi kabisa.Nao wanafunzi wakiambiwa wasibebane hawasikii!
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.

Pamoja na kuegama wako wadau walishawahi sema kwamba yanatitia na kama haitoshi mule ndani kuna nyufa za uhakika ambazo ni hatari tupu! Ila mhh mpaka siku yatakaponynga watu, then tutapeperusha bendera nusu mlingoti na kuuza sura za huzuni yanapita hakuna atakayekuwa responsible hata mmoja! Hii ndo bongo yetu!
mkuu sijaangalia uchakavu, bahati mbaya sina hiyo ripot ila wenye data zaidi nadhan watatujuza.Mkuu hebu tupatie engineering proof za kuonesha kuwa jengo linaanguka please usisahau kuwa strenght ya jengo inkua determined by the qulity of beams and columns za jengo je zime deviate from standard? Isije ikawa wewe ukiona rangi ya jengo chafu unaconclude kuwa jengo litaanguka...

still i'm waiting for Engineering analysis

Pl

Sio hall 2&5 tu isipokuwa chuo karibia chote kimeoza. Hall 5 inatisha. Tembelea kule Engineering pia uone.
Ndo maana vijana wote wakipewa kazi wanakuwa mafisadi-chuo majengo yameoza, huko sekondari walikotokea ndo usiseme........ni muendelezo wa maisha yasiyo na matumaini ya kufika kesho. Hata ukienda SUA majengo yanatisha:hostel 3 vyumba vinavuja. Inv building ndo hiyo Eng. Mlengela ali-conderm kuwa not fit fo occupace lakini academician wengine wakaziba masikio. No government- to say afew.

ikitokea maafa watasema bwana ametwaa na bwana ametoa. halafu tutasahau
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.
mi nashukuru Mungu nilitoka salama, nilikaa miezi miwili tu pale hall 5, floor ya 11.wanachuo kwa dini zenu mnatakiwa msali sana kumwomba mungu,maana hapo kuna watu yamkini wanaombea mfe wapewe kamati ya kuchunguza hicho chanzo cha kubomoka majengo.mh msipoomba kwa mungu kweli mtaangamia sanaaa

mi nashukuru Mungu nilitoka salama, nilikaa miezi miwili tu pale hall 5, floor ya 11.