Tunasimama wapi kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini?

Tunasimama wapi kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini?

Ile ni nchi dhaifu,ile North Korea. Siyo tishio kwa mtu yoyote. Haitegemewi fujo yoyote kutokea. Kwa hiyo what does it matter what we think?
 
Ile ni nchi dhaifu,ile North Korea. Siyo tishio kwa mtu yoyote. Haitegemewi fujo yoyote kutokea. Kwa hiyo what does it matter what we think?
Mkuu Andrew,
Wakati mwingine haya mambo yanataka kuonyesha msimamo tu. Wakati Tanzania inaiunga mkono PLO ya Arafat sijui PLO ilkuwa tishio kiasi gani. Mwaka jana mzee Tutu kakataa kuhudhuria mkutano uliomjumuisha Blair kwa kuwa tu Tutu hakuziafiki sera za Bush na Blair za kibabe, alikuwa na nguvu gani huyu.
 
Back
Top Bottom