Safi sana mh Nape kwa kutimiza ahadi yako ni vizuri kushukuru ata kama ni kidogo wana CCM msikatishwe tamaa na hawa dagaa wadogo wa CDM wasiojua chama chao kinapotoka na kinapoelekea, hakuna jambo lolote zuri wanalosifia kazi yao ni kupinga tu hasingetimiza ahadi yake wangemsema leo katimiza bado wanasema, jamani tuwazoee ndivyo walivyolelewa na wenye chama chao kazi yao ni kupiga makelele kama vyura mabondeni ata kama jambo ni zuri!