Tunashukuru raisi

Frank ndenuka

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
35
Reaction score
16
Hapa najiandaa kubeba mabegi angu kurudi mkoa ...nakumbuka tuu Maneno yako hakuna mwanafunzi ataekosa mkopo kama una Sifa lazima upate mkopo..leo imebaki story.. Mm binafsi siamin siasa hata siku moja... Ngoja nitafute maisha angu binafs lkn kuitegemea serikali kuhusu kusoma ni sawa na kuota ndoto za mchana....mkwele tutakukumbuka
 
Haaa haaaa hakuna jinsi hakuna cha yatima warema fani za kipaumbere wote wamekosa wadau kilicho baki tutafute njia mubadara
 

Du pole sana kma upo karibu nenda Bodi ukawaone maana walisema wiki hii wanafungua dirisha la watu kwenye malalamiko
 
njoo tu kitaa uwe bodaboda,kondakta.mpiga ma pind kwa madgo wa o level, houseboy,mkulima kila sehemu ina nafas yake
 
Ni kweli Kikwete kama binadamu alikua na madhaifu yake mengi tu, lakini tutamkumbuka sana kwa nia yake ya dhati ya kuendeleza hii nhi, kwa uchache naomba kutambua maboresho na mapinduzi makubwa kwenye hospitali ya Muhimbili.
Uswahiba na marafiki waliutumia mwanya kujinufaisha lakini tutakubali tu kwamba alikua na nia njema. Wakati mwingine FaizaFoxy anapoint, sema hisia zinatuongoza badala ya kuukabili ukweli na kujadili uhalisia wa mambo.
 
Tumuombee inaelekea tulimnukuu vibaya
 
Mwanzo hata mm nilimuona hb hakuwa rais poa, lkn leo nimehamini kipya si kitu... HB mkwele alikuwa poa sana...
 
<<< yaaaaaaaaaani Ndo Basi Tenaaaaaaaaa daaaaaaaaah ! inauma saaaaaaaaaaana >.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…