TunaPrint Banner na Sticker

TunaPrint Banner na Sticker

nikiwa nataka kwa ajili ya bango la taa bei ipoje? mana sikujua kama ni sticker.
Backlight Banner kwa ajili ya bango la Taa bei yake ni 20,000 kwa mita moja
 
Karibuni sana katika Idara yetu nyingine ya Kuprint Banners na Stickers.
Tunatoa Huduma ya Kuprint.
1. Normal Banners - 1sqm Tsh 9,500
2. Normal Stickers - 1sqm Tsh 8,000
3. Rollup banner
Standard Base - Tsh 120,000
Wide Base. - Tsh 145,000
4. Office Branding sticker - 1Sqm Tsh 7,500
5. Vehicle Branding Sticker - 1Sqm Tsh 7,500
6. Billboards
7. Teliacopic/Flag Banners
8. Wheel covers
9. Label stickers (Print&Cut with Plotter)
10. Contra vission stickers.

Tunajali vitu vitatu (3)
1. Quality
2. Time
3. Your budget

Karibuni sana kwa huduma hizo hapo.
Bei zinategemeana na ukubwa wa kazi na muda.
Kuna bei zinabadilika kulingana na Manunuzi ya material sokoni.

Tunapatikana Dar ea salaam.
Karibu uwasiliane nasi

0759413270 Call/Whatsapp.View attachment 2608327


Mimi nahitaji Vinyl stickers kama hizi. Naomba bei. Nina mlango wangu una vioo viwili 0.66m kwa 0.92m kila kimoja.
images (28).jpeg
 
Niendelee kuwakaribisha wadau kwa Huduma za Printing.

Tafadhali karibu tuwasiliane kwa Hii namba

Njoo Whatsapp au Nipigie

0759413270
 
Wheel cover hauja weka bei na sample na materials unazo tumia
 
Wheel cover hauja weka bei na sample na materials unazo tumia
Wheel Cover bei yake ni Tsh 30,000/=
Material ni yale ya Kuprintia Banner
Quality kabisaa na hayachaniki haraka.
 
Vehicle Branding with Transparent Sticker
Image-9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom