misnomer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2011 Posts 203 Reaction score 69 Dec 16, 2011 #1 .. havikosi kwenye sikukuu View attachment 43499
S Stephen Kagosi Member Joined Dec 10, 2011 Posts 16 Reaction score 1 Dec 16, 2011 #2 maskini wa fikra ndo hufanya hivi
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Dec 16, 2011 #3 Stephen Kagosi said: maskini wa fikra ndo hufanya hivi Click to expand... Ha,ha,ha,ha!Kweli aisee.
L Lymphocytes Member Joined Nov 23, 2011 Posts 50 Reaction score 8 Dec 17, 2011 #4 maisha ni burudan,ucpofurah unapunguza lyf span,wacha wa2 wajmwage'
K kiloloma Member Joined Oct 16, 2011 Posts 54 Reaction score 3 Dec 17, 2011 #5 hahahaaaaaa kwa staili hiyo stress zotezinapotea
libent JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 382 Reaction score 89 Dec 17, 2011 #6 hizo ndo faida za pombe ndo maana huwa na mawazo ya kubaka. Nashut down
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 48 Dec 17, 2011 #7 Stress zitapungua tu pale unapogida mibia lakini ukiamka asubuhi hangover+pesa iliyipotea kununua bia = stress X 2
Stress zitapungua tu pale unapogida mibia lakini ukiamka asubuhi hangover+pesa iliyipotea kununua bia = stress X 2
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Dec 18, 2011 #8 Stephen Kagosi said: maskini wa fikra ndo hufanya hivi Click to expand... baba umemaliza...!
O othorong'ong'o Senior Member Joined Jan 20, 2011 Posts 103 Reaction score 19 Dec 18, 2011 #9 Stephen Kagosi said: maskini wa fikra ndo hufanya hivi Click to expand... kivipi yaani?