Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,406
- 2,148
Mkuu nahitaji nikakomboe mzigo Zambia ili nilipe huku kwa mkwe niwe na amani. Na kuuza kwa bei ya faida naona itakuwa ngumu kumpata mteja kwa harakaSir, Uza vyote ila usiuze ardhi yako yote kwa hasara. Na kifo sio suluhisho utakua umecheat maisha.
2Pac anasema kama usiku ni wa giza nene basi jua linakaribia kuchomoza!
Asante mkuu. Kweli umenipa angle ambayo sikuiona. Nitalifanyia kazi kesho tuu kukikuchaPole sana sana nashauri pita kwenye mabenki kama uko dar tafuta vijana wa kichaga watachukua hio Shamba fasta hautajuta fasta sana au omba page za celebrities kama lemutuz na wengineo weka tangazo fupi sana, au mpigie lemutuz akusaidie kupata wadau
Sir, You appear to be dying for having a death wish! I will make effort to prevent this but can promise nothing!Mkuu nahitaji nikakomboe mzigo Zambia ili nilipe huku kwa mkwe niwe na amani. Na kuuza kwa bei ya faida naona itakuwa ngumu kumpata mteja kwa haraka
Poa sana ukikwama ntaangalia njia nyingine brains zinafanya kazi tukiona tatizo usijaliAsante mkuu. Kweli umenipa angle ambayo sikuiona. Nitalifanyia kazi kesho tuu kukikucha
Nimekosa emoji ya kushukuru mkuu. Asante sanaSir, You appear to be dying for having a death wish! I will make effort to prevent this but can promise nothing!
"You gotta find a way to survive coz they win when your soul die"
-2Pac
Sawa mkuu. Njia ifunguke kwa kweliPoa sana ukikwama ntaangalia njia nyingine brains zinafanya kazi tukiona tatizo usijali
Inshallah barikiwa sanaSawa mkuu. Njia ifunguke kwa kweli
Mkuu kama utakuwa na mawasiliano yake nitaomba nisaidieInshallah barikiwa sana
Sina namba zake ingine page zake hasa Instagram au google lemutuz inakuja fresh tuMkuu kama utakuwa na mawasiliano yake nitaomba nisaidie kwa namba 0679188106
Kweli eenh? Wewe ni mtu wa ngapi sijui ukizungumzia suala la nyota. Ila kuhusu kujiweka sawa unanipa insight mpya. Gemu ngumu nakujia hata pm tuyajenge. Im still young with ambitionMwanangu wewe fighter sana unahitaji coaching kidogo tu ili utoboe, lazima uwe na kinga lazima nyota inghae kwenye private life hasa upambanaji usiruhusu ngedere wakusumbue. Lazima uwe mnyama sana sana, pambana Kwanza piga hatua kidogo then uje inbox ntakupa mchongo. Game la private sio maigizo mepesi lazima uwe solid na compact kwenye game mwanzo mwisho. Dadeki ndio life
Ukiuza Shamba usifanye kosa ukaenda bila kujiweka sawa kwenda Zambia lazima uondoe nuksi na ujinga wote walokupa washenzi kwenye nyota yako, maana hapo tayari upo kwenye mufilisi kwenye nyota be careful, na wala sio lazima nikusaidie mimi , mi naplay role yangu kufungua akili kama msamalia
Ukiwa na akili hio ya kuuliza hivi then ushafunguka akili jiongezeJe nuksi haiwezi kuchelewesha kuuza shamba?