Tunaposema uchumi unakua kwa kasi lazima tuelewane Chini ya Rais Samia NMB wameshusha gharama za kufungua akaunti kutoka TZS 10,000 hadi TZS 1,000

Kwahiyo shida Kwa Watanzania ilikuwa ni Tsh 10000 ya kufungua account?

Sasa hata akifungua account kwa hiyo 1000 na account ikabaki imesinzia haina mzunguko inamsaidia nini Mtanzania?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, Bank ikitaka kukupa mtaji lazima uwe na Akaunti
 
Watawala wakisoma bandiko lako watafurahi na kupeana tano kwa kufanikiwa kutengeneza taifa la wapumbavu kama wewe. Maana hawatakuwa wanatumia nguvu kuwatawala. Just imagine na wewe ni mtanzania kabisa unadiriki kabisa kuandika upumbavu kama huu! Hii nchi kusonga mbele ni ngumu sana kama akili zenyewe ndo hizi
 
Back
Top Bottom