Dream Food
Member
- Aug 13, 2018
- 7
- 7
Habari zenu! Tunaitwa Dream Food, ni wapikaji na wasambazaji wadogo wa vyakula vya ofisini au sherehe ndogo. Tunapika vyakula aina nyingi, bora kabisa na bei zetu ni nafuu sana kama za migahawa ya kawaida. Tunafunga kwenye Takeaway na kukuletea hadi ulipo, wote mnakaribishwa.