Tunapoelekea wadada watazidi kuwa single

Tunapoelekea wadada watazidi kuwa single

Najitunza kama na bikra hadi nione mwanga siwezi kuliwa liwa hivyo mwisho nakuwa kama karatasi .
Na K inakuwa kama malboro ìliyoisha sitaki mazoea.

Ahaaaa unanichekesha kinoma.
Kuna katoto nakajua kana hizo pigo zako kabisa angekuwa anamiliki smartphone ningesema ni yeye.
 
Aina za marioo .
1.kuna mario wao wanajidai wanakutunza kama miezi kadhaa baadae analia shida mpaka amerudisha mali zake zote anaendelea kukuganda.
Hata kukukopea anakukopea kwenye shida yupo baadae anabadilika woi anadai kakwama hadi na leo na kesho anakukula tu na wala hushtuki mpaka ujue ameoa au anademu mwenye mimba
2. Huyu anatengeneza mazingira yakuonana atakuungisha bidhaa za hapo kwako au za ofisini kwenu halafu anakupa mkasa wa familia yao analia lia unamsaidia kwisha umeolewa naye analeta familia hadi kuku wakwao ataishi na wewe.
3.huyu atajidai anazo mpaka atakuweka kuwa yeye yupo juu baadae ameshakukula na amekuweka kumbu kumbu anakudaka .
Nahutoki kwake kwa maana ameshakuteka fulani naumedatika na unakamimba kake bora umzalie J tu.
Hivi mimi ndo sikuelewi au hueleweki!!???
 
Hahaha mwanamke Ni kiumbe au kitu chenye thamani sana machoni pa Mwanaume..

Nani wakuhudumia Mwanamke keshatombw* tombw* hovyo unadhani wanaume Ni wajinga waache ghafla kuhudumia???Pesa inatoka ukiwa na thamani kweli au umepata mwanaume zezeta..

Tafuteni kutunza thamani zenu kwa kuziba mapaja hayo ndo utajua maana halisi ya kuhudumiwa.Mwanaume Anaangalia kwanza kama hii pesa nayotoa inaendana na thamani yake????au ndo natoa leo kesho na mkuta kwa dereva bodaboda.

Maombi yenu ya kutaka fifty fifty m*mae tumeyapokea tuchukueni Sasa hiyo fifty fifty Kama mlikuwa mnaona tuna faidi kuwa vichwa vya familia,kuhudumia familia. Twendeni kwenye mfumo jike, maamuzi toa wewe,familia hudumia wewe na msemaji wa Mwisho kuwa wewe na ukitaka kuwa na wanaume kumi kuwa nao.
Comment bora sana hii kuwahi kukutana nayo JF. Kongole mkuu.
 
Acha hasira na miaka 6 nipo single sioni faida ya kuwa na mwanaume mimi nakama uamini njoo shika hadi ndani kama nasisimuka hamuna faida kazi kutupa nimba zisizo za mpango na kutuharibia vizazi vyetu.
Mimi nilikatashauri yakutoliwa na mtu yeyote kisa hamna faida na huu mwaka sasa ndio wasaba
Ushaliwa sana mpkaka machweo yamekukuta so huwezi tena kuwa na ashki. Pole sana, tunawatunza wenzio waliothamini na kutunza usichana wao, nyie wengine tunakuja kupiga na kuamsha.
 
Ushaliwa sana mpkaka machweo yamekukuta so huwezi tena kuwa na ashki. Pole sana, tunawatunza wenzio waliothamini na kutunza usichana wao, nyie wengine tunakuja kupiga na kuamsha.
Sioni haja ya kuliwa humu jamii forum mimi natunza kizazi changu mpaka makafiri kama nyie muoe sina haraka nasijakuomba uniambie yote haya sina muda kabisa.
 
Acha hasira na miaka 6 nipo single sioni faida ya kuwa na mwanaume mimi nakama uamini njoo shika hadi ndani kama nasisimuka hamuna faida kazi kutupa nimba zisizo za mpango na kutuharibia vizazi vyetu.
Mimi nilikatashauri yakutoliwa na mtu yeyote kisa hamna faida na huu mwaka sasa ndio wasaba
Unafikiri shida huwa ni za nguvu za kiume tu? Hata za kike huwa zipo bhana, mwanamke ukae miaka kadhaa hujaguswa na hausisimuki afu unaona kawaida tu hilo ni tatizo
 
Msafara wa mamba huwa kenge hawakosekani so nahisi ww unabahati mbaya yakukutana na kenge na ukaanza kuamini kuwa msafara ni wa kenge
 
Najitunza kama na bikra hadi nione mwanga siwezi kuliwa liwa hivyo mwisho nakuwa kama karatasi .
Na K inakuwa kama malboro ìliyoisha sitaki mazoea.

Kumbe una bikira?

Basi una safari ndefu sana. Bado changamoto za maisha hazijakupata ukae sawa
 
Unafikiri shida huwa ni za nguvu za kiume tu? Hata za kike huwa zipo bhana, mwanamke ukae miaka kadhaa hujaguswa na hausisimuki afu unaona kawaida tu hilo ni tatizo
Naweza panga na mtu siku ikifika tu najikuta nahairisha nandio mpaka leo naogopa mimba au ngoma
 
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
Mtaendelea kulalamika hivyohivyo, ila wenzenu huku kwetu wanaolewa kila kukicha... "you ar wat u get"
na kwanini usitaje majina ya hao uliokusudia badala ya kutaja wanaume wote? Ebu acha kudhalilisha watu wenye heshima zao..
 
Kwasababu wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom