Tunapendana sana ila hakuna anaemwambia mwenzie.

Haina maana ya kufanya ngono ila hata kumtongoza mtu alie funga sio vizur unaweza muweka kwenye majaribu akaharibu funga yake
Umesema ulishamtongoza, unachotaka kufanya sasa ni kumpitia tu ila unaheshimu dini!!
 
Mwanamke tayari ameamua kuwa dada yako
Anakujali na kukuheshimu imekuwa nongwa
Leo anakushauri usivae taulo mbele za wanawake wengine unadhani anakupenda kimapenzi
Anakulinda na vimitego vyako vya movie za kihindi zilizotafsiriwa kiswahili unaona kazi umemaliza
Endelea kujifariji
 
Yeye kamkataa sasa si amwache awatege wadada wengine humo ndani? Yanini kujipa kazi za mlezi wa mtu mzima?
 
Mwanamke tayari ameamua kuwa dada yako
Anakujali na kukuheshimu imekuwa nongwa
Leo anakushauri usivae taulo mbele za wanawake wengine unadhani anakupenda kimapenzi
Anakulinda na vimitego vyako vya movie za kihindi zilizotafsiriwa kiswahili unaona kazi umemaliza
Endelea kujifariji
Mbavu zangu.. kweli umejua kuniumbua
 
Sikiliza nikwambie kitu na huu ndio ukweli! Kama kweli ni mcha mungu kama ulivyosema sahau kuhusu uhusiano kati yako na yeye, huji kumpata kabisa na kama atakukubalia fahamu kuwa huyo si mcha mungu kabisa bali ni mnafiki aliyemkubwa kabisa ata wewe atakuharibia kabisa maisha yako!
 
Back
Top Bottom