Tunapendana au tunatamaniana

Tunapendana au tunatamaniana

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
406
Reaction score
233
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
 
ndoa za fashion nyingi sana. mtu anataka kuonekana nae yupo kwenye ndoa
 
Wazee wetu ni tofauti sana na zama hizi.

Kwa kweli kila kitu kimebadilika
 
Kudumu na mwanamke mda mrefu ni sawa na kula ugali kila siku utaweza?
 
Waliotufundisha kuachana ni wazee wa zamani. Kwa hiyo kuachana na mtu sio jambo la kushangaza kama anakiuka miiko ya ndoa kwa nini ung'ang'ane naye wakati unaweza kufanya plan B.
 
tulia ww kwan kuna chakula gan ambacho hujawahi kula mpaka xaxa kinachopatikana sehemu yako acheni hzo kama kubadili tayari huoni hapo ni tamaa tuuu
 
Wanawake wa zama hizi vichwa vyao vibovu sana ,hlf wengi wao wanawashwa sana.

Anyway ni bora kuachana kuliko kuishi maisha ya stress.
 
kipindi hiki tumenyimwa utashi wa kumtambua ni yupi mwenye upendo wa dhati
 
Back
Top Bottom