Moneyowner JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,422 Reaction score 1,254 Dec 15, 2016 #1 jamani huko wenzetu vipi,maana kwa hali ilivyo shinyanga mwaka huu ni hatare mvua inajaribu kidogo tu inasepa, kwa kweli wakulima full kuchanganyikiwa hatujaslima kabisaaa mpaka saivi. na magu hataki kutuajiri sisi walimu wa sanaa majanga sana
jamani huko wenzetu vipi,maana kwa hali ilivyo shinyanga mwaka huu ni hatare mvua inajaribu kidogo tu inasepa, kwa kweli wakulima full kuchanganyikiwa hatujaslima kabisaaa mpaka saivi. na magu hataki kutuajiri sisi walimu wa sanaa majanga sana