ndugu siku hizi serikali imeacha kuajiri watu moja kwa moja kwenye wizara ya kilimo mpaka uombe utumishi, pia wapo kwenye mchakato wa kuacha kuajil watu moja kwa moja ualimu na kuacha nao wawe wanaomba utumishi kama wengine, ukiachilia wa sayansi ambao watakuwa wanaajiliwa moja kwa moja mpaka wafikie 18000 wanaohitajika.