jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,356
Huyu Alicious yupo vizuri sana
12. Posa ya bolingo - Alicious Theluji
12. Posa ya bolingo - Alicious Theluji
wapi wale wa vidole juu wazee wakuchaji simu
Dunia tunapita. Samba Mapangalaaa
Starehe ngarama~Tunda
Njembe gumu~Mwanahawa
I belive in u~ Don William na nyimbo zake zoteee
Sina muda huo~Leila Ally..
One love ~ Luck dube
Love is wiked~
Africa qn~ 2face Idibia
This world is not my home~Jim Reaves na nyimbo zake zoote
KWA LEO NIISHIE HAPA...
Habari wana jf,
Mimi hupendelea burudani ya muziki mara nyingi nipatapo muda wa kupumzika,au hata safarini na huwa nafurahia nyimbo za aina zote ilimradi ziwe nzuri.Kwa muziki wa nyumbani siusikilizi sana siku hizi tofauti na kipinde kile enzi bongo records ikiwa active.
Isipokuwa kuna aina flani ya muziki ambao nauhusudu sana kwa sasa ila sijui unaitwaje na kwa nini auchukuliwi serious zaidi.Sample ni nyimbo kama:
1.Mwasiti-Promise
2.Banana zoro-Presha Presha
3.Tid-Nyota yako
4.Ben pol-Samboira
5.Maunda zoro-Niwe wako
6.Papii Kocha-Seya
7.Ommy dimpoz-Nani kama mama
8.Tid-Kiuno
9.christan bella-yako wapi mapenzi
10.At ft starah thomas-nipigie
11.Tid-Raha
Kwa uchache,mahadhi ya hizi nyimbo yananikosha sana kwa ambao pia mnazipenda hebu tupieni nyingine zinazoendeana na hizi niongeze library ya mziki mzuri.
Mikate tena?
"kukupenda hatuachi, kuna nawe hatuachi...."
Lowasa eee Lowasa eeee.....!!!
msaga sumu~lowassa huyo
tunda man~lowassa
walter chilambo~atuachi
papii kocha_ft_nguzo viking~lowassa
12. Posa ya bolingo - Alicious Theluji