Tunaopenda burudani ya mziki mzuri

Tunaopenda burudani ya mziki mzuri

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,594
Habari wana Jf,

Mimi hupendelea burudani ya muziki mara nyingi nipatapo muda wa kupumzika,au hata safarini na huwa nafurahia nyimbo za aina zote ilimradi ziwe nzuri.Kwa muziki wa nyumbani siusikilizi sana siku hizi tofauti na kipinde kile enzi bongo records ikiwa active.

Isipokuwa kuna aina flani ya muziki ambao nauhusudu sana kwa sasa ila sijui unaitwaje na kwa nini auchukuliwi serious zaidi.

Sample ni nyimbo kama:

1. Mwasiti-Promise
2. Banana zoro-Presha Presha
3.Tid-Nyota yako
4. Ben pol-Samboira
5. Maunda zoro-Niwe wako
6. Papii Kocha-Seya
7. Ommy dimpoz-Nani kama mama
8. Tid-Kiuno
9. Christan bella-yako wapi mapenzi
10. At ft starah thomas-nipigie
11.Tid-Raha

Kwa uchache,mahadhi ya hizi nyimbo yananikosha sana kwa ambao pia mnazipenda hebu tupieni nyingine zinazoendeana na hizi niongeze library ya mziki mzuri.
 
12. Posa ya bolingo - Alicious Theluji
 
Mimi napeda marry me wa barnaba clasic
Haijalishi huku nyuma nishamfanyia mangapi
Haijalishi huyu ndo wangu wa milele moyoni simuachi
Naomba baba, yabariki mahusiano yangu leo
Kwa kumpenda nimempandisha cheo
Huku nyuma nishafanya mengi mengi kibao........

Twaweza set mipango ili tutimize jambo leo kipenzi
Funga macho nikuoneshe kila ambacho utapenda
Baby i know you feel me, i wanna marry you, will you marry Oooh
I wanna marry you ooh, will you marry me
 
Waoooo yaani umenikosha moyo sana uwiiii roho yangu miee
 
yaani nikiwa kwenye mood nzuri napenda kusikiliza sweet life ya fally ipupa, siku nikiwa opposite nasikiliza raindrops ya tuface idibia
 
Dunia tunapita. Samba Mapangalaaa
Starehe ngarama~Tunda
Njembe gumu~Mwanahawa
I belive in u~ Don William na nyimbo zake zoteee
Sina muda huo~Leila Ally..
One love ~ Luck dube
Love is wiked~
Africa qn~ 2face Idibia
This world is not my home~Jim Reaves na nyimbo zake zoote
KWA LEO NIISHIE HAPA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom