Tunaompenda huyu jamaa hapo chini

Niseme niniiii.. Nisemee niniiiiii..... Sina la kusemaaaaaaaaaa!!!! Remmy ni mnyongeee!!


Mwarabu na pajeroo, msukuma na baiskeeeelii!!!
 
Sio Remmy Ongala

Ni Lemi Olanga πŸ˜‚
Nimeandika makusudi tu mpendwa πŸ˜„πŸ˜„

Huyo jamaa aligombania mashindano ya watu wenye sura mbaya akaangushwa mwisho hakukubali akaenda kukata rufaa
 
Kila nyimbo ya huyu jamaa sina neno tofauti na kusema hakuna anae weza kuimba dance kama yeye karne hii!!

Nasema uongo ndugu zanguni??
Wachangiaji hapa hawatokuwa wengi maana vijana wengi wamezaliwa enzi ya kikwete hawawezi kumjua Dr Remmy
Labda waambie wakuimbie nyimbo za Zuchu na Nandy zilizojaa matusi sijui "baba leta ukuni"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chuchumaa iingie, iokote weka mate itereze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyimbo za siku hizi ni full kuimba mikuyenge na mbususu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…