Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

Chubira ina vuta kheri,ila kwa wahuni subira anavuta majani mapana siku hizi hivyo kubwa ni akili kumkichwa! Vinginevyo umepigwa?
 
Aliye twambia akili za kuambiwa changanya na zakwako alikosea unaweza kuharibikiwa hasa ukiruhusu kuchanganya akiri za mtu ambaye huwa anaahirisha kufikiri, (suspending individual reasoning), a.k.a kujizima data

Vile vile usichangaye akili zako na wataalamu wa kujishupaza shingo, (CCM), ndugu yako akitekwa utaambiwa amejiteka ama amejificha, huenda mbali zaidi ukilalamika utaambiwa siyo mzalendo

Silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…