saiduni-makalio/churaAisee huyu jamaa ni noma kwenye kutafsiri muvi kutokana na mbwembwe zake na kiswahili chake cha kikenya.
Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu.
Maneno anayopendelea;
Kugusa wororo-kusex
Bebenyaku-Nyegezi
Kimoda-mtu hatari
Kutoka unyoya-kukimbia
Kaparo-mpishi
Makagali-nyeti
Ongezea mengine.....
Wanawake wengi wanasemaga kama wewe.Yani mimi movie ikishatafsiriwa inanikata stim siwezi itazama tena
kweli aisee, mademu ndo wana kauli hizoWanawake wengi wanasemaga kama wewe.
[emoji23][emoji23]Dah!Tunakwingilia sasa upande wa magharibi mwa kusini mwa mashariki mwa upande wa India
"afwande ebu kamata hiyo kijana naona inacheza na serekali, haijui serekali ina mapua marefu,serikali iko na mkono mnene"
hahahahhahahahaaaaaaaaa afro bhana sasa hapo sijui ni kusini au mashariki!Tunakwingilia sasa upande wa magharibi mwa kusini mwa mashariki mwa upande wa India
hahaahahahahahahaaaaaaa"afwande ebu kamata hiyo kijana naona inacheza na serekali, haijui serekali ina mapua marefu,serikali iko na mkono mnene"