Sana jamvi wote tupo makini kujua nini kinaendelea kutoka pale SAUT Mwanza kujua nini Nape anazungumza na wanafunzi pia witikio Wa hao wanafunzi,Kama hawajajitokeza wengi ni bora Nape arudishe gharama za kununulia hao mbuzi na ngombe kwani ni fedha za ruzuku ya chama chetu
CCM ni chama cha kilaghai! By the way, yale maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Au ndo mwendelezo wa ulaghai?Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....
Kuna uzi ulitangaza kuwa aliekua Mwenyekiti wa SAUT CDM atarudisha kadi na kuchukua kadi ya ccm, vipi hata picha hakuna mkuu tuone CDM inavyokufa.Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....