Tunaomba tukuhudumie

Tunaomba tukuhudumie

Mwasongola

Senior Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
149
Reaction score
108
Alaska Beverages & Company (T) Ltd
(0672 071 666/ 0686 355 655)
Tunatoa huduma nzuri za vinywaji kwenye sherehe kama vile Maharusi, Kitchen Parties, Send Offs, Birth Days, Mikutano n.k katika kumbi mbalimbali na maeneo mengine ya wazi popote pale hapa jijini Dar Es Salaam.
Tunatoa OFA BAB KUBWA kwa wateja wetu ikiwa ni pamoja na:
1.Bei ni maelewano tu.
Tunakuuzia vinywaji vyetu kwa bei ambayo tunaamini mteja wetu utaridhika nayo.
2.Ushauri.
Tunakusaidia mteja wetu kupanga mchanganuo wa vinywaji kulingana na bajeti yako kwa mfano mchanganyiko wa hard drinks uweje, mchanganyiko wa soft drinks, na maswali yote kuhusu zoezi zima kwa upande wa vinywaji tunakujibu.
3.Wahudumu wazuri.
Tunakupa wahudumu wasafi,wakarimu,waaminifu na waliobobea katika fani ya uhudumu kwa idadi utakayoridhika mwenyewe lakini pia tunaweza kukushauri idadi nzuri itakayofaa kulingana na total number of seats/attendants expected as per your event.
4.Glasi aina zote.
Tunakupa glasi kulingana aina ya vinywaji unavyochukua kwa mfano wine, juice maji,bia, champagnes n.k. na kwa idadi toshelezi.
5.Vipoozeo/Barafu.
Tunakupa majokofu, ama cool boxes, na barafu za kutosha kulingana na ukubwa wa mzigo.
6.Usimamizi wa huduma.
Mteja kwetu ni mfalme. Tunasimamia huduma mwanzo-mwisho ili kuhakikisha mchakato mzima unaenda kama tulivyokubaliana/kushauriana.
7.Uangalizi wa vinywaji.
Pamoja na kukuletea wahudumu waaminifu lakini pia tunakulindia kwa uhakika zaidi.
Na mzigo tunaukabidhi kwako mara baada tu ya kuufikisha eneo la tukio uukague kwanza ndipo harakati nyingine ziendelee.
8.Usafirishaji.

Screenshot_20181011-175953.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20181011-175953.jpg
    Screenshot_20181011-175953.jpg
    40.3 KB · Views: 16

View attachment 894799
Nimewahi kiti cha kwa dereva leo kiukweli nmeipenda hii huduma yenu Hongera kwa kuwa ni wabunifu mnachangamkia fursa. Naamini nmeeleweka wenye sherehe za aina zote watawatafuta tu.
 
Tunashukuru sana kutuunga mkono. Na pia huwa tunatoa AHSANTE kwa yeyote atakayetuunganishia kazi.
 
Back
Top Bottom