Tunaomba Mwijaku adhibitiwe

Kwa wale wazee wa zamani Kuna lile gaziti la sani ,Kuna toleo moka kipengele Cha comred Kipepe kilikuwa na kichwa Cha habari
** KIPEPE AWACHEKESHA MAFISI NA WATALII**

HUYU BWANA NAMWONA KWENYE NYUMBA ZA WAARABU AKIWA ANAITWA KUWAFANYA WATOTO WAO WAWEZE KULA FUTARI
 
Tunaomba Serikali imdhibiti ndugu Mwijaku Burton

Jamaa huyu anapotosha vijana wengi na hivi sasa vijana wengi hawataki kufanya kazi kwa kujitumaa, wanaamini kuwa uchawa unalipa zaidi na kwa mantiki hiyo vijana Wanafanya kila jitiada kuhakiksha kuwa wanakuwa kama Mwijaku.

Jana dogo mmoja nimemuona hapa platinum grill Dodoma akimsifia jamaa mmoja mwenye pesa zake ili kusudi anunuliwe vinjwaji na tajiri y na Kweli dogo alifanikisha adhama yake na hatimae kununualiwa bia sita kwa mpigo.

Hata tajiri naye hakuona kero ya kijana yule badala yake aliendeleaa kuchekacheka
Hahaa naona,unatangaza viwanja vya Dom kijanja...una ubia hapo platnum nini...
 
Matako anaweza kumzidi mwenezi, hilo kanzu linamsaidia kavaa kama dela. Msiinge msiyo yafahamu mjini kuna mengi.
 
Kama hakuna sheria ya jamhuri anayovunja aachwe tu. Naungana na ndugu Hance Mtanashati aliyeelezea kuhusu content. Hata redio huwa hazipewi matangazo kama zina wasikilizaji wachache. Kwa sasa upepo umehamia mitandaoni... mwenye kufuatiliwa sana anapewa madili.
 
Back
Top Bottom