Tunaomba Mwijaku adhibitiwe

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Tunaomba Serikali imdhibiti ndugu Mwijaku Burton

Jamaa huyu anapotosha vijana wengi na hivi sasa vijana wengi hawataki kufanya kazi kwa kujitumaa, wanaamini kuwa uchawa unalipa zaidi na kwa mantiki hiyo vijana Wanafanya kila jitiada kuhakiksha kuwa wanakuwa kama Mwijaku.

Jana dogo mmoja nimemuona hapa platinum grill Dodoma akimsifia jamaa mmoja mwenye pesa zake ili kusudi anunuliwe vinjwaji na tajiri y na Kweli dogo alifanikisha adhama yake na hatimae kununualiwa bia sita kwa mpigo.

Hata tajiri naye hakuona kero ya kijana yule badala yake aliendeleaa kuchekacheka
 
Back
Top Bottom