Tunaomba majipu yatumbuliwe wilaya ya Mkalama

anaplasmosis

Member
Jan 25, 2013
58
6
Kuna idara katika halmashauri ya wilaya ya Mkalama zimekuwa zikiwanyanyasa watumishi wa ngazi za chini, kwa kutokuwalipa stahiki zao, fedha za uhamisho, kupandishwa madaraja, fedha za nauli na hata yanapotokea mafunzo ya miradi mbalimbali hufanya ujanja ujanja tu, na mwisho wa siku wanatia ndani fedha zote ila mambo yanapoharibika katika hiyo miradi kuanza kutupa lawama na vitisho kwa watumishi wa ngazi za chini, hivyo tunaomba wakuu wa idara hiyo kuwashirikisha watumishi wa ngazi za chini, kuwapandisha madaraja kwa wakati na kuwalipa stahiki zao kwa wakati aidha pia tunamuomba waziri husika alifuatilie hili kwa karibu ikiwezekana afanye ziara halmashauri hiyo na kuonana na watumishi husika..(idara hizo ni kilimo, mifugo na nyingine zinazofanana na hizo.)
 
Waswahili wanasema jenga msingi imara upate nyumba imara, na Ndio maana zitto Na mzalendo yeyote anolitakia mema taiga hili anapingana Na usanii wa seriali ya CCM unoendelea hivi sasa, Na hayo hayatakoma kamwe hadi pale misingi imara itakapojengwa,
 
Back
Top Bottom