Tunanunua simu za Android

Tunanunua simu za Android

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
yeyote mwenye simu ya android kuanzia elfu 50 mpaka laki moja tunanunua.
 
ninayo galaxy s3 clone mini imeclack kioo, ila inapiga kazi flesh kabis nipe 80000
 
hapana nataka inayo work hasa teco au huawei
 
nina ideos U8150-D nzima haina tatizo lolote utanipa ngap?
 
iko huawei y300 inatumia laini zote nataka laki....iko safi no shida yoyote
 
kweli uchumi umepanda hadi vijijini wananunua simu za laki.
 
Nendeni madukani zipo nyingi na haziishi leo wala kesho, labda mshinwe ninyi tu!!
 
Ipo huawei y330,inatumia lain zote...Nahitaji laki
 
Ipo huawei y330,inatumia lain zote...Nahitaji laki
 
Back
Top Bottom