Tunanunua magari ya zamani

Tunanunua magari ya zamani

Njoo uchukue gar ila nataka 5.5 ipo vizur sana..carina nzuriii

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
mashart mengi kama ganga la kienyeji ni ujinga ujinga tu.
 
teh teh teh, Zanz umenichekesha sana! mashart meng sana halafu una habar humu jf wanunuzi n wachache sana ila waropokaj n weng!

Ni kweli kabisa mkuu mimi wateja wangu wakuu wengi ni marafiki wa wanachama wa JF sio wanachama wa JF hiki kitu kinanishangaza sana.
 
..Daah hii imekula kwangu mazimaaa make mi ninayo ROVER MARK II,engine yake ilitolewa na kuwekwa ya NADIA na ina deni la TRA japo si kubwa...4M ndo niliyokuwa nahiitaji............daah nooma sana!!
 
Naam NIPIGIE hapa nikupe cresta yangu namba A,hipo ktk hali NZURI sana-0657 740 797/TIGO TUPO PAMOJA....
 
Kama unahitaji gari nina cresta NAUZA mil 3 TU...
KARIBUNI NDUGU ZANGU/MI NINA SHIDA JAMANI NISAIDIENI
PIGA SIMU _+255 657 740 797
 
Back
Top Bottom