SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
we unajuwa kiswahilivp toyota pick up hauchukui?
OSABA nakuamjinia mkuu,Masharti mengi balaa na hela yenyewe hiyo mbuzi kufunguliwa mashine sio kama gari ni mbovu maana kuna vitu kama timing belt,cilinder head gasket,piston rings na vingine vidogo vidogo gari ikishafikisha km 100,000 utabadilisha tu hivyo vitu maana vitakuwa vimeshachoka sasa mashine lazima itafunguliwa tu.
Mkuu tunahitaji namba za simu..
teh teh teh, Zanz umenichekesha sana! mashart meng sana halafu una habar humu jf wanunuzi n wachache sana ila waropokaj n weng!OSABA nakuamjinia mkuu,
Nilitarajia lazima utakuja na jipya,maana jamaa kaingia kwenye fani yako.
Namsubiria Frank mzee we kuungaunga
Masharti mengi mno ngoja wanaokidhi waje.