Tunanunua magari ya zamani

Tunanunua magari ya zamani

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
TUNANUNUA MAGARI YA ZAMANI.
Tunanunua magari ya zamani yenye sifa zifuatazo:
1. Iwe TOYOTA SALOON car tu.
2. Namba "A" na "B".
3. Iwe imetunzwa vizuri.
4. Iwe na Body lililonyooka.
5. Isiwe imepata ajali ya kuanguka na kuumiza Body.
6. Iwe na Card Original na Document zote husika za kodi.
7. Isiwe na deni kubwa la TRA.
8. Malipo ni kwa Cash yaani papo kwa hapo kwa wale wenye HARAKA.
9. Isiwe ilishawahi kufungwa/Kufunguliwa Engine.
10. Bei ni maelewano lakini isizidi shilingi 4,200,000/=
11. Iwe maeneo ya Dar es salaam au karibu na Dar es salaam
12. Engine isizidi cc 1800, iwe na cylinder (Piston) 4.
13. Isiwe ilishawahi kuwa Taxi.
14. Tutahitaji picha za kutosha kabla ya kuja kuiona.

MAWASILIANO PM TUPO KARIAKOO
 
Masharti mengi mno ngoja wanaokidhi waje.
 
inauzwa hio 5m
 
Attachments

  • 1415630362143.jpg
    1415630362143.jpg
    81.8 KB · Views: 403
Hizo sifa ilizotaja sio za magari ya zamani acha utani mkuu.
 
Masharti mengi balaa na hela yenyewe hiyo mbuzi kufunguliwa mashine sio kama gari ni mbovu maana kuna vitu kama timing belt,cilinder head gasket,piston rings na vingine vidogo vidogo gari ikishafikisha km 100,000 utabadilisha tu hivyo vitu maana vitakuwa vimeshachoka sasa mashine lazima itafunguliwa tu.
 
Mimi nahitaji Suzuki swift au vitz. Ni pm mazungumzo yaendelee.
 
Masharti mengi balaa na hela yenyewe hiyo mbuzi kufunguliwa mashine sio kama gari ni mbovu maana kuna vitu kama timing belt,cilinder head gasket,piston rings na vingine vidogo vidogo gari ikishafikisha km 100,000 utabadilisha tu hivyo vitu maana vitakuwa vimeshachoka sasa mashine lazima itafunguliwa tu.
OSABA nakuamjinia mkuu,
Nilitarajia lazima utakuja na jipya,maana jamaa kaingia kwenye fani yako.
Namsubiria Frank mzee we kuungaunga
 
OSABA nakuamjinia mkuu,
Nilitarajia lazima utakuja na jipya,maana jamaa kaingia kwenye fani yako.
Namsubiria Frank mzee we kuungaunga
teh teh teh, Zanz umenichekesha sana! mashart meng sana halafu una habar humu jf wanunuzi n wachache sana ila waropokaj n weng!
 
Mimi nnayo peugot 504 iko kwenye hali nzuri na haina deni lolote kwa mawasiliano ni whatsup tuu 0762422254
 
Back
Top Bottom